African Music Jambo Bwana (Stereo- Swahili Kenya) Lyrics

[Chorus]
Jambo
Jambo bwana
Habari gani?
Mzuri sana
Wageni mwakaribishwa
Kenya yetu (locations may change)
Hakuna matata

[Chorus]
[Chorus]
[Chorus]

...

Verse
Kenya nchi nzuri
Nchi ya maajabu
Nchi ya kupeleza

Hakuna matata ad lib

Kenya yetu
Hakuna matata
Kenya wote

Jambo, jambo bwana /
Hello, Hello Mister
Habari gani, mzuri sana /
How are you? Very well.
Tuimbe tucheze sote /
Let us sing, let us all dance
Kiswahili ni lugha ya Africa /
Kiswahili is the language of Africa

Leo tufurahi hakuna matata /
Today let us be happy -- there are no problems
Reggae babu kubwa hakuna matuta /
Reggae is the godfather -- there are no problems

Burudani sali -- hakuna matuta /
The rhythm is good -- there are no problems
Aah tucheze sote -- hakuna matuta /
Aah, let's all dance -- there are no problems

Kiswahili ndlo lugha yetu ya Africa /
Kiswahili is our African language
Upende usipende utapenda kwa hakika /
Like it or not, you must like it
Michael Jackson kaimba Kiswahili /
Michael Jackson sang in Kiswahili
Lionel Richie kamfuata ni wa pili /
Lionel Richie was another one
Mukae vivyo hivyi siku zote kwa amani /
You should keep up that spirit always in peace
Maisha Africa yatakua na thamani /
Life in Africa will be of value

Tuimbe tucheze tuseme Kiswahili /
Let us sing, let us dance, let us speak Swahili
Supu ya uyoga ni tamu kwell kwell /
Mushroom soup is really sweet
.

See also:

59
59.32
Francesco Guccini Fantoni Cesira Lyrics
Julia Fordham Safe (Stripped Version) Lyrics