Jambo Lyrics

Jambo

Jambo, Jambo Bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.

Wageni, mwakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.

Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
Nchi ya maajabu,
Hakuna Matata.

Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.

Hakuna Matata,
Hakuna Matata.

Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.

Hakuna Matata,
Hakuna Matata. (mpaka mwisho)

See also:

60
60.80
Cast Down Lyrics
La Costa Brava Olvida El Ayer Lyrics