Boney M Malaika (Lambada Remix Lyrics
Malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika
na mimi nifanyeje ee
kijana mwenzio oo
nashindwa na mali sina ee
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina ee
ningekuo malaika
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika
na mimi nifanye je
kijana mwenzio oo
nashindwa na mali sina wee
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina wee
ningekuoa malaika
Kidege nakuwaza kidege
kidege nakuwaza kidege
ningekuoa aa mama
ningekuoa dada
nashindwa mali sina wee
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina wee
ningekuoa malaika
Malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika
nami nifanyeje ee
kijana mwenzio oo
nashindwa na mali sina wee
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina wee
ningekuoa malaika
Pesa zasumbua roho yangu
pesa zasumbua roho yangu
ningekuoa aa dada
ningekuoa aa mama
nashindwa na mali sina wee
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina wee
ningekuoa malaika
Malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika
See also:
JustSomeLyrics
73
73.3
Khayal Dan Tangis Elly Sunarya Lyrics
Waterboys, The Don't Bang The Drum Lyrics