longombas Dondosa - Longombas Lyrics
Logombaz logombaz logombaz
Mbio ya mgambo ikilia ina jambo
Nami ninalia kwasababu nina jambo
Sista vipi mambo (Aah poa braza)
Mi na ku-mind kishenzi (Wacha mchezo)
Unavyo walk talk si unaelewa tena
Unavyolegeza macho unani kill kishenzi
Nami nimenusurika kuwa chizi
Kukubusu mimi sijui ni lini
Mimi sina hili wala lile
Wana kutaka wewe, la anchuu....
Una faa na mimi
Mimi mwenyewe ni chuma
Nataka uwe mchumba
(Aah, nyumba yenyewe huna)
[Chorus]
Nikicheki ukidondo-dondosa
Roho yangu inauma uma
Hiyo kazi ya kusonga songa (songa)
Mbona unanirogaroga (roga)
Nikicheki ukidondo-dondosa
Roho yangu inauma uma
Hiyo kazi ya kusonga songa (songa)
Mbona una ni roga roga (roga)
Umesogamana nayo
Hadi sitamani tu kucheki cheza ngoma,kwani ni noma
Hilo bu-du linanichoma hadi na tamane
La sista usitake mi ni lie
Nimevumilia hadi nikaamua kukwambia
I love you shothel mi nakupenda
(Lakini mi naogopa)
Usiogope kitu wala usiwe na hofu
Yule ni chovu, mbovu
(Eee najuta kistukia jee) hata doo
(Akisha nitaamua jee) hata doo
Akwende basi come ni ku touch
[Chorus]
Adondo waka mipusa pe
Mipe kipe mabuula ape
Akieteke jelwa kuduse
Akwenchi kwenchia na aloba aleba
Adondo waka mipusa pe
Mipe kipe mabuula ape
Akieteke jelwa kuduse
Akwenchi kwenchia na aloba aleba,alebe kisekete
Logombaz cheza kuwa kwani twaku twakutongoza
Logombaz pate umejazia
Na figure kilogomba yaba logomba
Njoo unatuchoma,ukidondosa inavyosonga
Hebu songesha, hebu songesha
Logombaz cheza kuwa kwani twaku twakutongoza
Logombaz pate umejazia
Na figure kilogomba yaba logomba
Njoo unatuchoma,ukidondosa inavyosonga
Hebu songesha, hebu songesha
[Chorus]
See also:
JustSomeLyrics
123
123.19
Elvis Presley I've Got A Thing About You Baby (Take 14) Lyrics
Bendera Merah Putih Lyrics