E-Sir & Nameless Bomba Lyrics
b__ba Train feat. Nameless
Tumekuja kupata Dj hebu weka tracky
Tukule heppy halafu tufungue sakafu,
Sababu ina bamba inashika
fungu la tisa inatufikisha
ukiachilia mahewa maze Dj weka together
Chorus
Ah Uuuiih bu bu mba bu bu bu bu mba
(aiyaah) bu bu mba bu bu bu bu mba (aiyaah)
bu bu mba
b__ba b__ba aah
Karibu bila kubamba vipi dada shaky your nanda
ninakutouch touch siri raa ras
Kwenye dance floor shoa shoa
Unanoki hauchoki kwenye dance floor hautoki
Its Nameless and E-sir in conjunction with Ogopa
tumekuja kuhakikisha kwamba spika zinasikika
Hey you Mister are you a member
Hey you sister wacha kulenga
cant you see that I'm taking to you
sasa weka mikono juu
Ah (uuwiih) bu bu mba
bu bu bu bu mba (aiyaah)
bu bu mba bu bu
ukikatika na hii ng'oma
just be cool like a cucamber x 2
Ah (uwiih) bu bu mba bu bu bu bu mba
(Aaiyaah) bu bu mba bu bu mba
Ukikatika na hii ngoma, just be cool as a cucumber...
Aaaaah (hallo nameless uko freshy lakini)
Twende wewe yeye yeye wewe vice versa
Vile wataka sister, brother wacha
Kuzubaa uki slaki hautapata, fungua macho
Floor ni yako cheza wimbo kama ni wako
Cheza wimbo kama ni wako sababu huu wimbo ni wako
E-sir hatucheki na watu
Nameless hatucheki na watu
Ma m'c hatucheki na watu
Ogopa hatucheki na watu
Unahisi hizi floor za Africa (aha)
Can you feel this rock to the gear (aha)
Can you feel this up in here
(Chorus)
Natume kuja kuparty, ambia wenzetu samahani
Hawako nasi hatuko nao basi wametupa
Mbao sababu.Inabamba inashika
Fungu la tisa Inatufikisha tukiachilia mahewa
Maze dj weka together
(Chorus 1&2)
Ah.........ah.......ah....ah
Ukikatika na hii ngoma just be cool as a cucumber
Aaaaaa...........
See also:
JustSomeLyrics
123
123.19
側田 躍動的心 Lyrics
Tim Maia Meditação Lyrics